Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Chelsea 1-2 Sunderland:nafasi kwa  Liverpool kubeba ndoo.Mkongwe Samuel Eto'o alianza kuifungia Chelsea dakika ya 12 akimalizia pasi ya Willian, lakini Sunderland ikatoka nyuma kwa mabao ya Connor Wickham dakika ya 18 na Fabio Borini dakika ya 82 kwa penalti na kuibuka mshindi wa mechi.

Sunderland


Chapisha Maoni