Ton Kroos ni moja ya wachezaji wanaowindwa na Manchester United

Manchester United imetengana £ 200m ili kusajili vipaji vipya katika majira ya joto kwa mujibu wa Daily Express,na viongozi wa manchester united wapo tayari kumkadhi moyes kiasi hicho cha pesa kwaajili ya kuifufua united.
Chapisha Maoni