kipa wa chelsea alipata majeraha mara baada ya kuokoa mchomo mkali langoni kwake
Kipa
wa Chelsea, Petr Cech akisaidiwa kutoka nje baada ya kuumia dakika ya
17 katika Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu
dhidi ya wenyeji Atletico Madrid Uwanja wa Vicente Calderon.
+37
Out: Frank Lampard is shown a yellow card for a rash challenge and will miss the second leg
Asante kwa kutembelea Hope FM Iringa, Asante kwaku-share habari hii, Kama una Maoni, Ushauri, Story ya ku-share na sisi na au Unahitaji msaada...!
Wasiliana nasi kwa Email hopefmiringa@gmail.com au ungana nasi kupitia mitandao ya kijamii hapo chini!
Chapisha Maoni