- jana usiku Benzema aliifunga madrid bao muhimu dakika ya 19 dhidi ya Bayern Munich bao ambalo ni muhimu kwao ili kufuzu fainali katika mchezo wa marudiano.
Karim Benzema akishangiria baada ya kuifungia Real Madrid = 1-0
HII NI BLOGU INAYOKULETEA HABARI ZA MICHEZO, BURUDANI NA KIJAMII DUNIANI KOTE. EMAIL.jelamaviwanjani@gmail.com
Chapisha Maoni