kiungo mahili wa liverpool Steven Gerrard leo amewanyima raha mashabiki wa timu hiyo baada ya kumzawadia bao mshambuliaji wa chelsea demba ba mara baada ya kujikwaa kufuatia kurudishiwa mpira dakika chache kabla ya kipindi cha kwanza.
Willian akawatundika bao la pili.

Gutted: Gerrard's attempts to make amends for his error got ever more desperate as the game wore on

Chapisha Maoni