Timu ya Tanzania inayomilikiwa na kituo cha kukuza vipaji mkoani Mwanza(TSC) imeishangaza Dunia
baada ya kuchukua kombe la Dunia kwa watoto wa mitaani lililofanyika huko nchini Brazil na kuifunga timu ya Burundi kwa magoli 3 – 1.
HII NI BLOGU INAYOKULETEA HABARI ZA MICHEZO, BURUDANI NA KIJAMII DUNIANI KOTE. EMAIL.jelamaviwanjani@gmail.com
Chapisha Maoni