WATOTO WALIOTWAA TAJI BRAZIL WAKIJINAFASI NA CHAKULA CHA PINDA WALIPOPELEKA KOMBE BUNGENI Unknown Jumamosi, Aprili 12, 2014 A+ A- Print Email TAREHE 12-042014,PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea kutoka kwa nahodha msadidizi wa timu ya soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, Frank William, kombe la ubingwa wa dunia wa soka la watoto wa Mitaani wakati alipowaandalia chakula cha mchana kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Chapisha Maoni