Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Pointing to the sky: Chelsea star Luiz is on the brink of joining PSG in a deal costing close to £50 million

Beki wa chelsea David Luiz yupo njiani kujiunga na Paris St Germain  masaa 48 yajayo dili ambalo litagharimu karibu £ 50 million,ambapo anatarajia kuvunja rekodi kwa mabeki kusajiliwa kwa dau nono duniani.

inasemekana timu zote mbili zimeshakubariana na klabu ya PSG inatarajia kuomba kibari toka kwa kocha wa timu ya taifa ya brazil Luiz Felipe Scolari kumruhusu beki huyo kwenda kufanyiwa vipimo.dili likikamilika.





Chapisha Maoni