Timu ya soka ya ngoro ngoro leo imechapwa bao 2-0 na nigeria katika uwanja wa nyumbani jijini dar es salam,na wafungaji wa nigeria ni
Yahya Musa pamoja na Awoinyi Taiwo.
kwa matokeo hayo Tanzania tunaitaji ushindi wa bao tatu kwa bila katika mechi ya marudiano itakayofanyika nchini nigeria hivi karibuni.

Chapisha Maoni