
BEKI WAKIMATAIFA WA YANGA MBUYU TWITE AMEONGEZA WA MWAKA MMOJA WA KUTUMIKIA TIMU HIYO MARA BADA YA KUFIKIA MAKUBARIANO MAALUM HII LEO JIJINI DAR ES SALAM NA VIONGOZI WA YANGA.
Katibu Mkuu wa Young Africans Beno Njovu amesema wameingia
mkataba wa mwaka mmoja na Twite baada ya pande zote kukubaliana, hivyo
kuanzia sasa Twite ni mchezaji harali wa yanga.
Chapisha Maoni