
Mfungaji bao la Mexico Oribe Peralta
Mexico yajikita katika nafasi ya
pili ya Kundi A nyuma ya Brazil baada ya ushindi wa bao moja kwa nunge
dhidi ya wawakilishi wa Afrika the Indomitable lions ya Cameroon.
Mechi hiyo ndiyo iliyokuwa ya pili baada ya ushindi tata wa Brazil dhidi ya Craotia hapo jana.






Chapisha Maoni