Alhamisi ijayo michuano ya kombe la dunia inaanza rasmi nchini Brazil na
tayari mihemko imeanza kushuhudiwa miongoni mwa mashabiki wa timu za
mataifa yatakayoshiriki kindumbwendumbwe hicho.
lakini ni mchezaji gani nyota kati ya hawa atafanya vizuri akiwa na timu yake ya Taifa?.
lakini ni mchezaji gani nyota kati ya hawa atafanya vizuri akiwa na timu yake ya Taifa?.
LIONEL MESSI (Argentina)
NEYMAR (Brazil)

CRISTIANO RONALDO (Portugal)
ARJEN ROBBEN (Holland)
Y
LUIS SUAREZ (Uruguay)

ANDRES INIESTA (Spain)

MARIO BALOTELLI (Italy)

WAYNE ROONEY (England)

IVAN RAKITIC (Croatia)

EDEN HAZARD (Belgium)

Chapisha Maoni