Paul Pogba akishangilia bao ambalo limewavusha ufarance adi robo fainal
+17
UFARANSA wametinga katika hatua ya robo fainali baada ya usiku huu kuichabanga Nigeria bao 2-0 mabao ambayo yamepatikana dakika za mwisho kipindi cha pili.
Nigeria
iliyotinga 16 kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1998 baada ya kushika
nafasi ya pili Kundi F, ilijitahidi kuwabana Ufaransa kwa muda mrefu,
lakini ‘pumzi iliwakatika’ dakika za mwishoni.
Kabla
ya Paul Pogba kufunga bao la kwanza kichwa dakika ya 79, kipa Vincent
Enyiama alikoswa mabao matatu ya wazi, moja mchomo wa Karim Benzema
ukiondolewa kwenye mstari wa lango na Victor Moses.
kikosi cha ufarance (4-3-3):
Lloris 7; Debuchy 6.5, Varane 6.5, Koscielny 6, Evra 5.5; Pogba 7,
Cabaye 6.5, Matuidi 7; Valbuena 7 (Sissoko 90), Giroud 5 (Griezmann 62,
7.5) Benzema 7.
wafungaji Scorer: Pogba, 78, Yobo og, 90+2.
Manager: Didier Deschamps 7
kikosi cha Nigeria (4-2-3-1): Enyeama 6; Ambrose 6.5, Yobo 6, Omeruo 6.5, Oshaniwa 6.5; Onazi 7(Gabriel 59 - 6 ), Mikel 7.5; Odemwingie 7, Moses 6.5 (Nwofor 90), Musa 7; Emenike 7.
Subs: Ejide, Agbim, Uzoenyi, Egwuekwe, Odunlami, Oboabona, Azeez, Uchebo,
Ameobi.
Manager: Stephen Keshi 6.5
Referee: Mark Geiger (USA) 6.5
Subs: Ruffier, Landreau, Sakho, Cabella, Mavuba, Mangala, Sagna, Digne, Remy, Schneiderlin.

Chapisha Maoni