
Polisi nchini Brazil wanasema
kuwa watu 12 akiwemo mkurugenzi wa kampuni iliyopewa mkataba wa kuuza
tiketi hizo, wamesimamishwa kazi kutokana na kashfa ya kuuza kiharamu tiketi za kuhitimisha mechi za kombe la Dunia.
HII NI BLOGU INAYOKULETEA HABARI ZA MICHEZO, BURUDANI NA KIJAMII DUNIANI KOTE. EMAIL.jelamaviwanjani@gmail.com

Chapisha Maoni