
Baada ya timu ya Mancherster united kutambulisha jenzi ambayo watakwenda kutumia msimu huu vijogoo vya liverpool nao wametambulisha uzi ambao watautumia msimu huu ambao wanaamini ni mzuri na utawaletea ushindi.
HII NI BLOGU INAYOKULETEA HABARI ZA MICHEZO, BURUDANI NA KIJAMII DUNIANI KOTE. EMAIL.jelamaviwanjani@gmail.com
Chapisha Maoni