MAN united wameendeleza wimbi la ushindi baada kushinda kwa mikwaju ya penalti 5-3nchini marekani katika mchezo ambao ulikuwa wa vuta nikuvute dhidi ya Inter Milan kufuatia sare bila kufungana ndani ya dakika 90.
Katika mchezo huo uliofanyika kwenye Uwanja wa FedEx Field mjini Washington, penalti za United zilitiwa nyavuni na Ashley Young, Javier Hernandez, Tom Cleverley, Shinji Kagawa na Darren Fletcher wakati Marco Andreolli wa Inter aligongesha mwamba.
Manchester United first half: Lindegaard, Smalling, Jones, Evans, Valencia, Fletcher, Herrera, Young, Mata, Rooney, Welbeck
Second half: De Gea; M Keane, Evans, Blackett; Young, Cleverley, Fletcher, Kagawa, Shaw; Zaha, Nani (Hernandez 77)
Substitutes not used: Lingard
Booked: Valencia
Inter Milan: Handanovic (Carrizo 63), Ranocchia, Vidic (Andreolli 72), Juan Jesus, D'Ambrosio, Jonathan, Kuzmanovic (Laxalt 63), Krhin (M'Vila 46), Dodo (Nagatomo 63), Botta (Taider 63), Icardi
Substitutes not used: Schelotto, Guarin, Obi, Mbaye, Silvestre, Puscas, Berni, Bonazzoli
Booked: Andreolli

Chapisha Maoni