Na Sophia
Mwaipyana,Mbeya
Timu 12 za mpira wa miguu za maveterani mkoania
Mbeya na Njombe kushiriki bonanza la
maveterani litakalo fanyika wilayani Mbalari katika uwanja wa shule ya msingi
rujewa.
Bonanza hilo
ambalo huwa linafanyika kila mwisho wa mwezi
katika wilaya tofauti ambapo mwezi uliyo pita ilifanyika Inyala na mwezi huu litafanyia juma pili
wilayani Mbalari.
Akiongea na JELAMBA mwenyekiti wa maveterani mkoa wa Mbeya na kocha wa timu ya maveterani Mbeya mjini
Shaban Robart alisema kuwa timu kumi na
mbili zimesha dhibitisha kushiriki katika bonanza hilo.
Lengo letu
bado nilile la kuwakutanisha wachezaji wa zamani ilikujenga umoja na kulinda
afya zetu na bonanza litachezwa kwa mtindo wa ligi.
Akizungumzia
kuhusu maandalizi ya timu yake ambayo
ndiyo mabigwa watetezi Mbeya Maveterani alisema kuwa kama ilivyo kawaida yetu
lazima kurudi na ushindi .
Timu hiyo
ambayo imetwa ubigwa mara mbili
mfululizo imekuwa tisho kwa timu zote za maveterani kutokana na kusheheni
wachezaji mahiri wenye uwezo mkubwa wakurisakata kabumbu.
Mwisho
Chapisha Maoni