Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



 kocha toka zambia Pa ambaye aliifundisha simba kwa mafanikio makubwa miaka ya nyuma anatarajia kutua simba wiki kusaini mkataba kwa kukinoa kikosi hicho baada ya kumtimua loga.
  
Phiri ni kocha mwenye mafanikio tangu anacheza soka katika klabu za Rokana United (sasa Nkana F.C.) na Red Arrows zote za nyumbani kwao, Zambia kama mshambuliaji.

Alikuwemo kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Zambia kilichocheza Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 1978 na 1982, kabla ya kuiwezesha Chipolopolo kufuzu kwa AFCON ya mwaka 2008 nchini Ghana. 

Akiwa kocha, Phiri pia aliiongoza timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ya Zambia kucheza Fainali za kwanza kabisa za Kombe la Dunia nchini Nigeria mwaka 1997 kabla ya kushinda tuzo ya kocha bora wa mwaka nchini mwake mwaka 1999.

kocha toka zambia
Patrick Phiri
Personal information
Date of birth 3 May 1956 (age 58)
Place of birth Luanshya, Northern Rhodesia
Playing position Forward (retired)
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
1973–1974 Buseko FC

1974-1975 Rokana United
(21)
1975–1986 Red Arrows

Teams managed
1986-1991 Red Arrows
1992–1994 Ndeke Rangers
1995–1997 Lusaka Dynamos
1997 Mochudi Centre Chiefs
1997–2002 Nkana F.C.
2002–2003 Zambia
2003–2005 Simba
2006–2008 Zambia
2008–2011 Simba
2012 NAPSA Stars


Chapisha Maoni