kocha mzambia patrik phiri ametua jijini dares salam kwa ajli ya mazunguzo na simba ili kuitumikia timu hiyo ambayo ilimaliza ligi katika nafsi ya nne,na mara ya mwisho simba alikuwa akichukua kitita cha milioni saba.
Phiri ni kocha mwenye mafanikio tangu anacheza soka katika klabu za Rokana United (sasa Nkana F.C.) na Red Arrows zote za nyumbani kwao, Zambia kama mshambuliaji.
Alikuwemo kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Zambia kilichocheza Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 1978 na 1982, kabla ya kuiwezesha Chipolopolo kufuzu kwa AFCON ya mwaka 2008 nchini Ghana.
Akiwa kocha, Phiri pia aliiongoza timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ya Zambia kucheza Fainali za kwanza kabisa za Kombe la Dunia nchini Nigeria mwaka 1997 kabla ya kushinda tuzo ya kocha bora wa mwaka nchini mwake mwaka 1999.
kocha toka zambia
Personal information | |||
---|---|---|---|
Date of birth | 3 May 1956 | ||
Place of birth | Luanshya, Northern Rhodesia | ||
Playing position | Forward (retired) | ||
Senior career* | |||
Years | Team | Apps† | (Gls)† |
1973–1974 | Buseko FC | ||
1974-1975 | Rokana United | (21) | |
1975–1986 | Red Arrows | ||
Teams managed | |||
1986-1991 | Red Arrows | ||
1992–1994 | Ndeke Rangers | ||
1995–1997 | Lusaka Dynamos | ||
1997 | Mochudi Centre Chiefs | ||
1997–2002 | Nkana F.C. | ||
2002–2003 | Zambia | ||
2003–2005 | Simba | ||
2006–2008 | Zambia | ||
2008–2011 | Simba | ||
2012 | NAPSA Stars |
Chapisha Maoni