Habari zilizotufikia hivi punde
zinasema kuwa mchezo kati ya yanga na timu toka Malawi Big Gullets imeota mbawa baada ya
gari ambalo timu hiyo ilikuwa ikisafiria kuharibika kabla ya kuvuka mpaka wa
malawi na tanzania na kuchelewa kupata usafiri mwingine ili kuweza kuwahi muda
wa masaa 12 ya kusafiri njiani hadi jijini dar.

Chapisha Maoni