BONDIA THOMAS MASHALI AJIFUA KUMKABILI MKENYA HENRY WANDERA NOVEMBA MOSI FRENDS CORNE
Na Mwandishi Wetu
BON DIA Thomasi Mashali yupo katika
maandalizi mazito ya kumkabili bondia kutoka kenya Henry Wandera Novemba
mosi katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam
akizungumza wakati wa mazoezi yake
juzi Mashali amesema kuwa yupo fiti wakati wowote yeye kufanya kazi
hivyo aofii ata kiogo mpambano huo na kuwataka mashabiki wake waje waone
anavyo mgalagaza vibaya sana siku hiyo mkenya Wandera
mbali na mpambano huo siku hiyo
kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi yatakayo wakutanisha Mbayo
Ilunga na Fred Sayuni wakati Joseph Mbowe ataoneshana umwamba na Saidy
Salum na Ramadhani Johncena ataoneshana ubabe na Baina Mazola

Chapisha Maoni