Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



Timu ya soka ya Ivory Coast huenda ikakabiliwa na vikwazo baada ya mashabiki wake kuvamia uwanja mjini Abidjan baada ya kupata fursa ya kuwakilishwa katika michuano ya mataifa ya bara Afrika.
kisa hicho kilitokea baada ya timu hiyo kupata sare ya bila kwa bila dhidi ya Cameroon siku ya jumatano ili kuhakikisha kuwa wanamaliza wa pili katika kundi D.
Shrikisho la soka barani Afrika CAF limesema kuwa linasubiri ripoti ya refa kuhusu kisa hicho.
Kisa hicho huenda kikaangaziwa na kamati ya maandalizi mnamo tarehe mosi mwezi Disemba.


Chapisha Maoni