rsenal yachapwa na Swansea 2 -1
Arsenal walikuwa ugenini wakimenyana na Swansea ambapo leo Arsenal wamepata kichapo baada ya kukubali kufungwa magoli 2 -1
Arsenal ndio waliokuwa wa kwanza kufunga goli lilofungwa na Alexi SanchezHata hivyo goli hilo halikudumu kwani Swansea nao walipata goli la kusawazisha na baadae wakapata goli la ushindi. Matokeo mengine Sunderland na Everton zimetoka sare ya 1 - 1. Sunderland ndio waliokuwa wa kwanza kufunga goli lililofungwa Sebastian Larsson. Hata hivyo goli hilo halikudumu kwani kwani Everton walipata penalti iliyofungwa na Leighton Baines. Mechi nyingine ya mapema ilikuwa ni kati ya Tottenham waliadhibiwa wakiwa nyumbani na Stoke City kwa kufungwa magoli 2 - 1 Baada ya mechi hiyo Kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino alionyesha kusikitishwa na matokeo hayo. Ni kocha mkuu wa Tottenham Mauricio Pochettino. England - Premier League | |||
---|---|---|---|
FT | Sunderland | 1 - 1 | Everton |
FT | Tottenham Hotspur | 1 - 2 | Stoke City |
FT | West Bromwich Albion | 0 - 2 | Newcastle United |
FT | Swansea City | 2 - 1 | Arsenal |
Asante kwa kutembelea Hope FM Iringa, Asante kwaku-share habari hii, Kama una Maoni, Ushauri, Story ya ku-share na sisi na au Unahitaji msaada...!
Wasiliana nasi kwa Email hopefmiringa@gmail.com au ungana nasi kupitia mitandao ya kijamii hapo chini!
Wasiliana nasi kwa Email hopefmiringa@gmail.com au ungana nasi kupitia mitandao ya kijamii hapo chini!
Recent Posts
- Anonymous25 Nov 2016GERRARD HATA KAMA TUPO AFRIKA TUTAKUKUMBUKA DAIMA, KISOKA
Gwiji wa Liverpool, Steven Gerrard amestaafu rasmi kutumikia mchezo wa Soka ikiwa ni baada...
- Anonymous01 Oct 2016HII NDIO SIMBA NA YANGA, USIPITWE..
Ipo itikadi hata wengine huamini kwamba, utambulisho wa mtanzania ni alama ya chanjo ya mwili maaruf...
- Anonymous15 Jun 2016RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA 2016/17 HII HAPA
EPL August 13/14 Arsenal v Liverpool Bournemouth v Manchester United Burnley v Swa...
- Anonymous31 May 2016MAKOCHA WALIOPITA SIMBA
Tangu 2000 hadi sasa Mkenya, James Siang’a (2000-2004-Nilimuelewa sana Tu) Trott Moloto-Sauz (...
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni