NEWCASTLE 1-0 LIVERPOOL Unknown Jumamosi, Novemba 01, 2014 A+ A- Print Email Liverpool hivi punde wamekumbana na kipigo cha bao 1-0 toka kwa Newcastle licha ya vijana wa timu hiyo kucheza vizuri. bao la Newcastle limewekwa kimiani na Ayoze Perez dakika ya 74 kipindi cha pili.
Chapisha Maoni