Msimu
wa soka nchini Somali umeanza rasmi katika mji mkuu Mogadishu, huku
mechi ya kwanza ikichezwa katika uwanja ambao ulikuwa eneo la mazoezi la
wapiganaji wa kundi la Alshabaab.

HII NI BLOGU INAYOKULETEA HABARI ZA MICHEZO, BURUDANI NA KIJAMII DUNIANI KOTE. EMAIL.jelamaviwanjani@gmail.com

Chapisha Maoni