TIMU ya chelsea ya uingereza imechukua ubingwa wa capital one cup baada ya kuifunga Tottenham bao 2-0.
mabao ya chelsea yamefungwa na John Terry dakika ya 45 pamoja na bao la kujifungwa la Kyle Walker dk 56.

Eric Dier reacts with frustration after being booked for a late tackle on Chelsea's Diego Costa
mabao ya chelsea yamefungwa na John Terry dakika ya 45 pamoja na bao la kujifungwa la Kyle Walker dk 56.
Chapisha Maoni