BONDIA Fransic Cheka atapanda ulingoni kwa mara ya kwanza kabisaa baada ya kutoka jera ambapo atacheza na Kiatchai Singwancha . kutoka Thailand mpambano uho wa raundi kumi utafanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba jijini Dar es salaam, akizungumza
matahalisho ya mpambano uho promota Kaike Siraju amesema kuwa
amejipanga vizuri kwani kila kitu kinaenda vizuri kwa ivi sasa ambapo
mabondia wa utangulizi wote wanatarajia kusainishwa wiki hii
mpambano uho utakaosimamiwa na chama cha ngumi za kulipipwa nchini P.ST chini ya rais wake Emanuel Mlundwa wamesema
kuwa wao wako tayali kwa mpambano uho na bondia wa Thailand ataingia
nchini siku tatu kabla ya mpambano uho ambao uatavuta isia za wapenzi
wengi wa mchezo wa ndondi nchini siku iyo Vicent Mbilinyi 'Sugu' atavaana na Keis Amal
Asante kwa kutembelea Hope FM Iringa, Asante kwaku-share habari hii, Kama una Maoni, Ushauri, Story ya ku-share na sisi na au Unahitaji msaada...!
Wasiliana nasi kwa Email hopefmiringa@gmail.com au ungana nasi kupitia mitandao ya kijamii hapo chini!
Chapisha Maoni