| ||
| Wananfunzi wa BAJ wakionesha umahiri wao katika mchezo wa kuvuta kamba katika uzinduzi wa Media day 2015 |
| Wanafunzi wa Baji wakiendelea na mashindani ya kunywa soda kwa kutumia sekunde katika uzinduzi wa Media day 2015 |
| Mwanafunzi wa BAJ mwaka wa kwanza akiwa katika mashindano ya Push up katika uzinduzi wa Media day 2015 |
| Wanafunzi wa BAJI wakihishiriki mashidano ya riadha katika uwanja wa kigonzile katika uzinduzi wa Media day 2015 |
| Baadhi ya wachezaji wa timu ya mpira wa miguu kutoka BAJ wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mpambano katika uzinduzi wa Media day 2015 |
Chapisha Maoni