Yanga Imetolewa baada ya
kufungwa kwa bao 1-0 dhidi ya Etoile du Sahel.
Mechi
hiyo ya pili ya Kombe la Shirikisho kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Sousse,
Tunisia, imeifanya Yanga ing’oke kwa jumla ya mabao 2-1 ikiwa ni baada ya sare
ya bao 1-1 jijini Dar.
Yanga
ilionyesha mchezo mzuri lakini bao la kipindi cha kwanza lililofungwa na
nahodha Amar Jemal kwa kichwa, ndiyo lililowang’oa.
Chapisha Maoni