Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


  OLYMPIASTADION, BERLIN, GERMANY
 
 
 
FAINALI: JUMAMOSI MEI 6, OLYMPIASTADION, BERLIN, GERMANY, SAA 3:45 USIKU, SAA ZA BONGO
 
Hii ni Fainali ya UEFA CHAMPIONZ LIGI ambayo ama FC Barcelona ya Spain au Juventus ya Italy itatwaa Ubingwa wa Ulaya na pia Bingwa huyo atakuwa ametwaa Trebo Msimu huu baada ya Timu zote mbili kutwaa Makombe mawili Nchini mwao yale ya Ubingwa na Kombe la Nchi.
 
Habari kubwa ya Fainali hii ni kukosekana kwa ule mvuto mkubwa wa kuwakutanisha tena kwa mara ya kwanza Beki wa Juventus Giorgio Chiellini na Fowadi wa Barcelona Luis Suarez baada ya Chiellini kuumia Jumatano.
 
Wachezaji hao walivaana huko Brazil Mwaka Jana wakizichezea Nchi zao kwenye Fainali za Kombe la Dunia na Suarez kuadhibiwa kwa Kifungo kirefu kwa kumng'ata Meno Chiellini. 
 
PATA HALI ZA VIKOSI VYOTE:
 
Juventus
Juventus Turin.svg
Full name Juventus Football Club S.p.A.
Nickname(s) [La] Vecchia Signora[1] (The Old Lady)
[La] Fidanzata d'Italia (The Girlfriend of Italy)
[I] bianconeri (The White-Blacks)
[Le] Zebre (The Zebras)
[La] Signora Omicidi (The Killer Lady)[2]
[La] Goeba (Gallo-Italic for: Hunchback)
Founded 1 November 1897; 117 years ago (as Sport Club Juventus)[3]
Ground Juventus Stadium,
Turin, Italy
Capacity 41,254[4]
Owner Agnelli family (through EXOR S.p.A, BITJUVE)
Chairman Andrea Agnelli
Manager Massimiliano Allegri
League Serie A
2014–15 Serie A, 1st
Website Club home page
JUVENTUS
Timu inayotarajiwa kuanza:
Buffon; Lichtsteiner, Bonucci, Barzagli, Evra; Marchisio, Pirlo, Pogba; Vidal; Tévez, Morata.
Majeruhi: Barzagli, Chiellini, Cáceres 
 
FC Barcelona 
 
Barcelona
FC Barcelona (crest).svg
Full name Futbol Club Barcelona
Nickname(s) Barça or Blaugrana (team)
Culés or Barcelonistas (supporters)
Blaugranes or Azulgranas (supporters)
Short name FCB
Founded 29 November 1899; 115 years ago
as Foot-Ball Club Barcelona
Ground Camp Nou
Capacity 99,354
President Josep Maria Bartomeu
Head Coach Luis Enrique
League La Liga
2014–15 La Liga, 1st
Website Club home page
Timu inayotarajiwa kuanza:
Ter Stegen; Alves, Piqué, Mascherano, Alba; Rakitić, Busquets, Iniesta; Messi, Suárez, Neymar.
 
Majeruhi: Hamna
REFA: CUNEYT CAKIR [TURKEY]
 


Chapisha Maoni