Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Mwili wa aliyekua mtangazaji wa RADIO TANZANIA RTD na sasa TBC TAIFA, EZEKEL MALONGO aliyefariki siku ya jumanne usiku katika hopitali ya MWANANYAMALA
Mwili wa aliyekua mtangazaji wa RADIO TANZANIA RTD na sasa TBC TAIFA, EZEKEL MALONGO aliyefariki siku ya jumanne usiku katika hopitali ya MWANANYAMALA jijini DSM umesafirishwa kwenda SIMAJIRO mkoani MANYARA kwa mazishi.

EZEKIEL MALONGO alifariki siku ya jumanne kutokana na kuugua maradhi ya MALARIA.

Mwandishi wa TBC, JESE JOHN amefanya mahojiano na baadhi ya wachezaji waliocheza soka wakati yeye anatangaza mpira na kumuelezea MALONGO kama alikua mtangazaji mpira mahiri.


Chapisha Maoni