mabao yamefungwa na Jamil Mchaulu ‘Balotelli’ aliyefunga bao la kwanza dakika ya tatu, kisha Adam Omar Soba dakika ya 88.
Katika mchezo wa kwanza wa kuwsaka mshindi wa tatu, Champion ya Kawe ilitwaa ubingwa wa U17 kwa kuifunga 1-0 Bom Bom ya Ilala kwenye Uwanja huo huo, Karume.
Chapisha Maoni