+20
Mabao ya muda wa ziada ya Kevin de Bruyne na
mchezaji wa akiba Romelu Lukaku yaliwezesha Ubeljiji kutinga hatua ya
robo fainali ya kombe la dunia timu ilipoilaza Marekani mabao 2-1
huku Salvador Brazil.
Hii ndiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa Ubeljiji kufuzu kwa hatua hiyo ya robo fainali baada ya kipindi cha miaka 28 .Subs: Mignolet, Vermaelen, Lukaku, Mirallas, Lombaerts, Dembele, Januzaj, Chadli, Ciman, Bossut.
Scorer: De Bruyne, 93, Lukaku, 105.
Booked: Kompany
kikosi cha USA (4-2-3-2): Howard 8.5; Johnson 5.5 (Yedlin 31mins 6), Gonzalez 6, Besler 5.5, Beasley 5.5; Cameron 5, Jones 5; Zusi 5.5 (Wondolowski 71mins 6), Bradley 5.5, Bedoya 6 Green 105mins 5.5); Dempsey 5.5.
Subs: Guzan, Yedlin, Brooks, Johannsson, Diskerud, Davis, Beckerman, Green, Altidore, Chandler, Rimando.
Scorer: Green, 107.
Booked: Cameron.
Referee: Djamel Haimoudi (Algeria) 7
Attendance: 51,227
M-O-M: Tim Howard
Chapisha Maoni