Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



KOCHA wa timu ya taifa  ya Nigeria  Stephen Keshi ametangaza kujizulu baada ya kushindidwa kufurukuta mbele ya ufaransa na timu yake kukubari kipigo cha bao 2-0,na kusukumwa nje ya mashindano katika hatua ya 16,kombe la dunia.


baada ya Stephen Keshi kuachia ngazi pia mlizi wa timu hiyo  Joseph Yobo ametangaza kustaafu kutumikia kikosi cha timu ya taifa ya nigeria ili kuwapicha wengine.
.
kabla ya hapo,Keshi mwenye umri wa miaka 52 alijiuzulu kufundisha timu hiyo mara baada ya kuchukua mataifa ya Afrika lakini wadau na viongozi wa soka nchini humo walimsii kuendelea kutumikia kikosi cha super egos kwa kuwa tayari alikuwa amepata mafanikio na kikosi hicho.



mechi za makundi za nigeria brazil

Mon, Jun 16, 10:00 PM
vs
Iran
0 – 0
Full–time

Sun, Jun 22, 1:00 AM
vs
Bosnia and Herzegovina
W 1 – 0
Full–time

Wed, Jun 25, 7:00 PM
vs
Argentina
L 2 – 3
Full–time




Country
GP
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
3
3
0
0
6
3
3
9
2
3
1
1
1
3
3
0
4
3
3
1
0
2
4
4
0
3
4
3
0
1
2
1
4
-3
1


Chapisha Maoni