Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


waliojipanga kuteka soko la filamu na muziki wa kiazazi kipya vilivyo.Akizungumza na mwandishi wa blogu hii alisema hadi sasa ameshakutana na vikwazo vingi ushirikiano mbovu wa wasanii songea na Tanzania ,kwa ujumla ,makundi mengi ya sanaa mjini songea hayana wadhamini na uongozi imara hivyo kusababisha baadhi ya watu wazima kuona kuwa makundi hayo ni ya kihuni na kupoteza muda tu.
kisate amesema mpaka alipofikia ameweza kushiriki katika filamu ya ''ubaya wa rafiki'' vile vile yeye anajiandaa kutoa filamu yake binafsi itakayo kamilika mwezi wa nane kwa upande wa uandishi amesema ana uwaezo wa kuandika aina yeyote ya sanaa yaani muziki,filamu,na michezo ya kuigiza .kwa kuonesha uwezo wake kwa sasa amejitoa kuweza kuinua sanaa ya mkoa wa ruvuma na kuitangaza tanzania kimataifa.
Mbali na sanaa ya kuigiza na muziki msanii huyu amejipanga kuinua wasanii wachangawa sanaa nyingine kama sarakasi,



endapo atapata ufadhili wakutosha kutoka wa wadau wa sanaa ndani ya nchi na nje waliotayari kufa nya naye kazi kwa minajiri ya kuboresha kutangaza na kutoa ajira kwa vijana .
Baadhi ya masanii mkubwa anayevutiwa naye ni Vicent kigosi maarufu kama Ray anavutiwa naye na anapenda namna anavyofanya sanaa,kwa kuongeza ndani ya songea anavutiwa sana na baadhi ya wasanii kama zm,Gluck, kwaupnde wa muziki,na kwa upande wa filamu ni Alfani Nampesia,Msabila wa msabila, Norah,Semen na Mwajuma maarufu kama mwa J.


KISATE YUPO TAYARI KWA'' ACTION''
Sasa jamii lazima iwaangalie wasanii wachanga kwani wana mapya mengi leo kisape amekuja na kuzungumzia uandishi wake wa kuitetea jamii ya wanyonge na ameuambia mtandao huu kwamba ameandika filamu kuhusu mateso na ukiukwaji wa haki ulofanywa kipindi cha operesheni ya ujangili hili ni jambo la kuungwa mkono si tu na mashirika binafsi hata na serikali yenye macho na inayoona umma wake hasa vijana.

Mbali na sanaa mteteche ni mfanyabiashara za mazao na ni kijana mtafutaji na mwenye elimu ya wastani na iliyo mjenga hata kuamua kuzungumza na jamii yake kwa njia ya sanaa anapendezwa na wasanii kuungana zaidi na si kutengana bila sababu za msingi kwani ndio sababu ya kurudi nyuma kisanaa na maendeleo kwa ujumla.

mwisho alikumbuka sana yeye alipo kuwa mtoto Wilayani Tunduru alikuwa mpiga ngoma za asili na hicho yeye anakitaja kuwa ni chanzo stahiki chake kwa sanaa hivyo  sanaa yake ni ya asili anaomba waliotayari kufanya naye kazi na si kujaribu ,wadau, wawekezaji na wapenda maendeleo wote kushirikiana naye kwaajiri ya kusimamisha sanaa iwe kama kazi.



Chapisha Maoni