Arsenal:
Martinez, Bellerin, Chambers, Monreal (Miquel 73), Gibbs, Flamini
(Arteta 60), Campbell (Sanchez 73), Ramsey (Wilshere 60), Rosicky
(Coquelin 60), Oxlade-Chamberlain (Cazorla 46), Sanogo (Akpom 73).
Subs: Szczesny, Debuchy, Koscielny, Giroud.
Booked: Monreal.
wafungaji wa magoli: Sanogo 26, 44, 45+1, 49, pamoja Campbell 40.
Benfica: Artur, Amorim (Joao Teixeira 85), Gaitan (Cancelo 85), Lima (Derlei 85), Maxi Pereira, Ola John (Candeias 60), Salvio (Bebe 57), Eliseu (Benito 19), Sidnei, Talisca (Andre Almeida 60), Cesar.
Subs: Paulo Lopes, Jara, Luis Felipe, Lindelof.
Booked: Benito.
mfungaji: Gaitan 62.

NOOIJ ATARAJIA MECHI YA WAZI DHIDI YA MSUMBIJI Kitaifa
Na Boniface Wambura, Maputo
Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij
amesema anakiamini kikosi chake ambacho kesho (Agosti 3 mwaka huu)
kinacheza mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika
dhidi ya Msumbiji (Mambas).
Mechi hiyo ndiyo itakayoamua ni
timu ipi kati ya Tanzania na Msumbiji itakayoingia hatua ya makundi ya
michuano ya Afrika kwa ajili ya kutafuta tiketi za Fainali
itakayofanyika mwakani nchini Morocco.
Katika mechi ya kwanza
iliyochezwa jijini Dar es Salaam wiki mbili zilizopita timu hizo
zilitoka sare ya mabao 2-2. Timu itakayosonga mbele itaingia kwenye
kundi lenye timu za Cape Verde, Niger na Zambia.
Akizungumza hapa Maputo, Nooij
amesema anaamini kikosi chake kitacheza vizuri zaidi kuliko kilivyofanya
jijini Dar es Salaam kwa vile hakitakuwa katika shinikizo la washabiki
ambalo mara nyingi hufanya wachezaji wasijiamini.
Taifa Stars inayodhaminiwa na
Kilimanjaro Premium Lager imefikia katika hoteli ya Pestana Rovuma
ikitokea Johannesburg, Afrika Kusini ambapo ilifanya maandalizi yake
mwisho, na itafanya mazoezi leo (Agosti 2 mwaka huu) saa 9 alasiri
Uwanja wa Taifa wa Zimpeto ambao ndiyo utakaotumika kwa mechi ya kesho.
Kikosi hicho cha timu ya Taifa leo imeandaliwa chakula cha jioni na Balozi wa Tanzania hapa Msumbiji, Shamim Nyanduga.
Wachezaji Mbwana Samata na
Thomas Ulimwengu nao wameungana na timu leo asubuhi hapa Maputo
wakitokea Lubumbashi katika klabu yao ya TP Mazembe ya Jamhuri ya
Kidemokrasi ya Congo.
Mechi itakayochezeshwa na
waamuzi kutoka Uganda wakiongozwa na Dennis Batte itaanza saa 9 alasiri
kwa saa za hapa ambapo nyumbani Tanzania itakuwa saa 10 jioni.
Wachezaji waliopo katika kiosi
cha Taifa Stars hapa Maputo ni Aggrey Morris, Aishi Manula, Amri Kiemba,
Deogratias Munishi, Erasto Nyoni, Haruna Chanongo, Himid Mao, John
Bocco, Kelvin Yondani, Khamis Mcha, Mbwana Samata, Mwinyi Kazimoto,
Mrisho Ngasa, Nadir Haroub, Oscar Joshua, Ramadhan Singano, Said Moradi,
Shabani Nditi, Shomari Kapombe, Simon Msuva na Thomas Ulimwengu.

Chapisha Maoni