Xavi Hernandez _Spain
Xavi playing for Spain at Euro 2012 |
|||
Personal information | |||
---|---|---|---|
Full name | Xavier Hernández i Creus[1] | ||
Date of birth | 25 January 1980 | ||
Place of birth | Terrassa, Spain | ||
Height | 1.70 m (5 ft 7 in)[2] | ||
Playing position | Midfielder | ||
Club information | |||
Current team
|
Barcelona | ||
Number | 6 | ||
Youth career | |||
1991–1997 | Barcelona | ||
Senior career* | |||
Years | Team | Apps† | (Gls)† |
1997–2000 | Barcelona B | 61 | (3) |
1998– | Barcelona | 474 | (56) |
National team | |||
1997 | Spain U17 | 10 | (2) |
1997–1998 | Spain U18 | 10 | (0) |
1999 | Spain U20 | 6 | (2) |
1998–2001 | Spain U21 | 25 | (7) |
2000 | Spain U23 | 6 | (2) |
2000–2014 | Spain | 133 | (13) |
1998– | Catalonia | 10 | (2) |
* Seni |
Kiungo wa Barcelona na Spain Xavi Hernandez ametangaza kustaafu soka la kimataifa.
Hernandez mwenye umri wa miaka 34 alichezea
timu yake ya spain na kutwaa ushindi na pia makombe mawili ya champion
Ulaya akiwakilisha nchi yake.Akiwa na umri wa miaka 20 alianza kung'ara baada ya kuipatia ushindi timu yake katika mechi ya 15 November 2000 ambapo Netherlands ililazwa bao1-0 dhidi ya Spain.
Katika umri huo pia Xavi alikaririwa na vyombo vya habari akisema mie si mwenye miaka 20 tena lakini bado nina hamasa ya kitoto.
Hata hivyo alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka 2008 katika ligi ya ulaya wakati huo Hispania ikiwa inasubiri kutwa kikombe cha kimataifa baada ya miaka 44 tangu kung'ara kidunia.
Hispania ilianza tena kiombe la dunia 2014 nchini Brazil kama moja ya timu maarufu na tarajiwa lakini wakatolewa nje katika hatua ya makundi baada ya kuchabangwa 5-1 na Netherlands na kisha 2-0 dhidi ya Chile.
Xavi mwenyewe pamoja na kutangaza kustaafu sasa amesema kuwa ilikuwa hatua hiyo aichukue 2012 baada tu ya ligi ya Ulaya lakini kocha wake Vicente Del Bosque alimsihi asichukue uamuzi wa kustaafu hadi baada ya kombe la dunia jambo ambalo la kuvunja moyo kwangu na kwa wengine pia.
"Nachukua fursa hii kumshukuru kila mmoja katika timu kwa jinsi walivyonichukulia na kuniheshimu".
BY JELAMBA VIWANJANI WITH BBC
Chapisha Maoni