Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


GUMZO la ujenzi wa viwanja kwa klabu mbili kongwe la Yanga na Simba, sasa linaonekana ni kama hadithi isiyokuwa na jipya, imezoeleka.
Hadithi ileile, kuanzia aliyepita, aliyepo, huenda hata tunayemtarajia, huenda akaingia na kuzungumza yaleyale.


Big G ukiitafuna sana, kawaida inaisha utamu. Lakini inavyoonekana si hii inayozihusu Simba na Yanga, ni tamu tu kila kukicha.
Yanga na Simba, wangekuwa wawekezaji, basi ungewaita ni wale wasio na uwezo wa kujenga kiwanda licha ya kuwa na maeneo yao..........fungua  http://salehjembe.blogspot.com 

kwa taarifa kamili


Chapisha Maoni