Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Bayern Munich imeendelea
kutoa vipigo safari hii kwenye
Ligi ya Mabingwa Ulaya
baada ya kuichapa Dinamo
Zagreb kwa mabao 5-0.
Bayen ambayo ilikuwa
nyumbani, mshambuliaji
wake Roberto Lewandowski
alifunga mabao matatu, hat
trick katika ushindi huo wa
bao tano.
Maana yake, katika mechi
tatu, Lewandowski ameweza
kufunga mabao 10 katika
mechi za michuano
mbalimbali na kuweka rekodi
nyingine ya upachikaji
mabao.



Chapisha Maoni