Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi cha timu ya taifa kilicho tayari kupambana na Alge...
TWIGA STARS KIBARUANI DHIDI YA MALAWI
Timu ya taifa ya soka ya wanawake 'Twiga Stars', inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya taifa ya wanawake ya Malawi ...
MASIKINI MOURINHO FA WAMSHUKIA TENA
MENEJA wa Chelsea Jose Mourinho amefunguliwa tena Mashitaka ya Utovu wa Nidhamu na FA, Chama cha Soka England, kufuatia kauli na matendo ...
MECHI YA KUMUENZI ROONEY KUPIGWA MWAKANI
KEPTENI wa Manchester United Wayne Rooney ameruhusiwa kufanyiwa Mechi ya Kumuenzi na mapato yote ya Mechi hiyo kwenda kwenye Mifuko ya Hi...
MAYWEATHER ASTAAFU RASMI NDONGA
Mashabiki wengi wa ngumi wamekuwa hawaamini kama bondia Floyd Mayweather amestaafu kweli baada ya kucheza mechi 49. Wengi wanaamini ...
KOCHA WA TOTO OUT!!!!!!
Taarifa iliyoufikia mtandao huu hivi punde ni kwamba, kocha wa Toto Africans Martin Grelics amejiuzulu. Hii hapa ni barua rasmi ya kujiuz...
DABI YA MACHESTER KAZI IPO LEO.
JUMAPILI Jiji la Manchester huko England leo Linazizima kwa Dabi ya 170 kati ya Mahasimu Manchester United na Manchester City katika Mech...
MATOKEO $ RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA
RATIBA: Saa za Bongo Jumapili Oktoba 25 1500 Sunderland v Newcastle 1705 Bournemouth v Tottenham 1705 Man United v Man City 1915 Liver...
TAARIFA KUZAGAA KUWA KOCHA WA SIMBA KAKALIA ‘KUTI KAVU’ SIMBA YAKANUSHA.
Baada ya taarifa kuzagaa kwenye baadhi ya vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii kwamba kocha mkuu wa ‘wekundu wa Msimba...
LISTI YA UBORA, MESSI CHARI TOP TEN, KLABU ZA SOKA 10 BORA ZIPO REAL, MAN UNITED, BAYERN NA BARCA TU!
Kwa mujibu wa Jarida linaloheshimika Duniani kwa mambo ya Kifedha, Forbes, Staa wa Barcelona, Lionel Messi, hayumo kwenye 10 Bo...
RATIBA LIGI KUU UINGEREZA WIKENDI HII
LIGI KUU ENGLAND RATIBA: Saa za Bongo Jumamosi Oktoba 24 1700 Aston Villa v Swansea 1700 Leicester v Crystal Palace 1700 Norwich v Wes...
ALICHOKISEMA SALEH ALLY KUHUSU TAIFA STARS
MIMI ni Mtanzania kama wengine zaidi ya milioni 45 ambao tunaishi katika nchi yenye utajiri mkubwa kwa mambo mengi sana. Nimezaliwa Tan...
RATIBA MATOKEO LIGI KUU.
LIGI KUU VODACOM RATIBA Alhamisi Oktoba 22 JKT Ruvu v Mtibwa Sugar Mwadui FC v Mgambo JKT Mbeya City v African Sports Ndanda FC v Azam...
NYOTA WALIOWAI KUCHEZA UEFA WAKIWA NA UMRI MKUBWA
Kwa sasa hawapo tena kwenye tasnia hii ya soka, lakini mchango wao utabaki katika vitab...
UEFA CHAMPIONSI LIGI MATOKEO $ MAKUNDI
UEFA CHAMPIONS LIGI MAKUNDI Jumatano Oktoba 21 KUNDI A Malmö FF 1 Shakhtar Donetsk 1 Paris St Germain 0 Real Mad...
YANGA YAUA TOTO LAO,SIMBA YAPIGWA
YANGA Leo imepata ushindi wa bao 4-1 dhidi ya Toto Africa,mabao ya YANGA yamefungwa na Msuva mawili ,JUMA na Tambe Huku lile la Toto likif...
RATIBA $ MATOKEO UEFA LIGI
UEFA CHAMPIONZ LIGI MAKUNDI Jumatano Oktoba 21 Mechi zote kuanza Saa 3 Dak 45 Usiku KUNDI A Malmö FF v Shakhtar Donetsk ...
TAARIFA KUHUSU NSA JOB
Nsa Job, mchezaji wa zamani wa vilabu vya Simba , Yanga na Cosatal Union Baada ya picha nyingi na taarifa kuzagaa zinazomhusu mchezaji w...
RATIBA LIGI KUU YA VODACOM LEO NA KESHO
RATIBA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA Oktoba 21, 2015 Yanga SC Vs Toto Africans Stand United Vs Majimaji FC JKT Ruvu Vs Mtibwa Sugar...
BALLON D'OR NGOMA INOGIRE WACHEZAJI 23 WATANGAZWA
Orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Ballon d’Or 2014; Sergio Aguero (Argentina/Manchester City) Gareth Bale (Wales/Real Madrid) Karim ...