Na Sophia
Mwaipyana,Mbeya
Mkuwa mkoa
wa Mbeya Abasi Kandolo anatarajia kuwa mgeni rasmi katika siku ya kuadhimisha
miaka mitatu ya timu ya Mbeta city inayo
talajia kufanyika kesho juma mosi katika uwanja wa sokoinne mkoani hapa.
Akiongea na JELAMBA katibu wa Mbeya City Emmanuel Kimbe alisema kuwa timu yetu imetimiza
miaka mitatu sasa toka ianzishwe ambapo huwa tunaiadhimisha kila tare 25 mwezi
huu.
Lakini
kutokana na majukumu yaliyo nje ya uwezo wetu tukaamua tumeadhimishe siku ya jumamosi ambayo itakuwa siku ya mapumziko
iliwatu wengi waweze kufika kwani
sikuhiyo ni Family day kwasababu timu hii niyawana Mbeya.
“Tutafanya
shughuli nyingi za kijami ikiwa ni kuwalipia ada watoto wasiyo jiweza kutembelea shule maarumu ilikuwapa sapoti
kwakuwa mashabiki wetu walikuwa wakifanya shughuli nyingi za kijamii sasa ni zamu ya timu”
“Siku hiyo
kutakuwa na michezo mingi kukimbiza kuku
kwa wazee ,kuvuta kamba naatakae fika
uwanjani ndiye atashiriki akipenda na
tutatoa zawadi kwa mshindi katika kila
mchezo”
“Pia
kutakuwa na mechi kati ya mashabiki wa Mbeya City bodaboda Fc na
mashabiki wa Mbeya City bajaji Fc watashuka dimbani kuonyeshana ubabe wa soka”
VILE VILE
TIMU YA MBEYA CITY INATALAJI KUONDOKA KESHO KWENDA ZAMBIA KUCHEZA MECHI YA KILAFIKI KATIKA UWANJA WA NAKONDE KWAJILI YA MAANDALIZI YA LIGI KUU INAYO TARAJIA KUANZA KUTIMUA VUMBI MWENZI UJAO.
AKIONGEA NA JELAMBA VIWANJANI KATIBU WA TIMU HIYO EMMANUEL KIMBE ALISEMA KUWA TUTAONDO KESHO KUELEKEA ZAMBIA NATUTACHEZA MECHI MOJA NA TIMU YA HUKO AMBAYO INASHILIKI LIGI KUU ILITUWEZE KUJIPIMA

Chapisha Maoni