Refarii mtajika Howard Webb ameestaafu.
Webb ambaye amepuliza kipenga kwa muda wa miaka
25 amestaafu baada ya kuchaguliwa kuwa afisa wa shirikisho la marefarii
(Professional Game Match Officials Limited PGMOL).Hata hivyo kilele cha tajriba yake ilikuwa fainali ya kombe la dunia la mwaka wa 2010 iliyoandaliwa huko Afrika Kusini .
Refarii huyo mwenye umri wa miaka 43 alianza kazi hiyo mwaka wa 1989.
"najivunia tajriba niliyonayo na sasa nawashukuru wenzangu kwa kunichagua kuwahudumia katika kazi hii mpya ," alisema Webb.
Katika kombe la dunia lililokamilika majuzi huko Brazil, Webb alimua mechi ya kundi Cha baina ya Colombia na Ivory Coast,na ile ya mchujo baina ya Brazil na Chile.
Amewahi tuzwa na malkia wa Uingereza mwaka wa 2011na tuzo la MBE .
Webb in 2011 |
||||
Full name | Howard Melton Webb | |||
---|---|---|---|---|
Born | 14 July 1971 Rotherham, West Riding of Yorkshire, England |
|||
Other occupation | Former police officer | |||
Domestic | ||||
Years | League | Role | ||
1993–1995 | Northern Counties East | Assistant referee | ||
1995–1998 | Northern Counties East | Referee | ||
1996–1998 | Football League | Assistant referee | ||
1998–2000 | Premier League | Assistant referee | ||
1998–2000 | Football Conference | Referee | ||
2000–2003 | Football League | Referee | ||
2003–2014 | Premier League | Referee | ||
International | ||||
Years | League | Role | ||
2005–2014 | FIFA listed | Referee | by bbc network |
Chapisha Maoni