Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



wekundu wa msimbazi simba jioni ya leo wanatarajia kushuka katika uwanja wa somora mkoani Iringa kuvaana na Lipuli ya Iringa katika mchezo wa kirafiki ambao utavua hisia za wadau wengi wa soka mkoani hapa.
 wachezaji wa lipuli wakiwa wamepumzika baada ya mechi yao na mlale mchezo ambao wiibuka na ushindi wa bao 1-0

akizungumza na JELAMBA VIWANJANI katibu msaidizi wa lipuli Ronjino malambo alisema kuwa mchezo uo utakuwa na faida kubwa kwa timu ya soka ya lipuli ambao hivi karibuni waliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya mlale jkt toka songea vijijini lakini Simba wao walitoshana nguvu na Tanzania prisons katika uwanja wa sokoine mbeya katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom.


Chapisha Maoni