Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



mweshimiwa Sugu akiwa na dereva wake baada ya kupata ajali.

HABARI Zilizotufika hivi punde ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amepata ajali eneo la Mlima Kitonga.


Taarifa zinasema Sugu ambaye pia ni msanii mkongwe wa muziki wa hip hop na shabiki wa Mbeya City na Arsenal amepata ajali akiwa na dereva wake lakini wote wamesalimika baada ya gari hilo kupinduka.


 
 endelea kusoma jelamba viwanjani kwa taarifa zaidi.


Chapisha Maoni