Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.







Wekundu wa msimbazi Simba pamoja na Mtibwa sugar zote toka Tanzania bara zimetinga katika hatua ya fainali ya michuano ya mapinduzi Cup ambayo inatarajia kufikia tamati wiki Ijayo.

Mtibwa imetinga katika Fainali hiyo kwa mikwaju ya penalty 5-3 dhidi ya JKU baada ya kutoshana nguvu ndani ya dakika 90.

Kwa upande wa Simba nayo imetinga katika Fainali baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 bao ambalo limefungwa na Ramadhani Singano Messi katika mtanange ambao umemalizika usiku huu.


Chapisha Maoni