Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 Anzhi Makhachkala. Pre-breakup
Gasan Magomedov mwenye umri wa miaka 20 anayeichezea kilabu ya Urusi Anzi Makhachkala ameuawa kwa kupigwa risasi karibu na nyumbani kwake kazkazini mwa Caucusus nchini Urusi.

Mogomedov alikuwa akiendesha gari lake wakati wa mfyatuliano wa risasi ndipo gari lake likamiminiwa risasi na kumpelekea kuaga dunia kutokana na majeraha aliopata wakati alipokuwa akisafarishwa hospitalini.

Kulingana na kilabu hiyo ya Anzhi hakuna mtu aliyekamatwa na sababu ya tukio hilo haijulikani.

Kilabu hiyo imetuma rambirambi zake kwa familia ya Magomedov,mchezaji wa kiungo cha kati.
Hakuna ripoti za majereha mengine kufuatia kisa hicho.
Gasan Magomedov
Personal information
Full name Gasan Radzhabovich Magomedov
Date of birth 17 January 1994
Date of death 4 January 2015 (aged 20)
Place of death Novolaksky District, Dagestan, Russia
Height 1.78 m (5 ft 10 in)
Playing position Midfielder
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
2012–2014 Anzhi Makhachkala 0 (0)
2014–2015 Anzhi-2 Makhachkala 16 (0)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 4 January 2015.
† Appearances (Goals).



Chapisha Maoni