Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Baada ya Madrid kucheza mechi 22 bila kupoteza katika michezo ya kimashindano,hatimaye leo wamechezea kichapo cha bao 2-1 toka kwa Valencia.
Bao la  Penati  Dakika ya 14 kwa upande wa Madrid lilikwamisha na Ronaldo, lakini Valencia wakapiga Bao 2 Kipindi cha Pili kupitia Antonio Barragan na Nicolas Otamendi kuwapa Bao la ushindi.
Matokeo hayo yamewabakisha Real Pointi 1 mbele ya Barcelona ambao wanaweza kutwaa uongozi wakiifunga Real Sociedad baadae Leo hii ingawa Barca watakuwa wamecheza Mechi 1 zaidi.
VIKOSI:
Valencia (Mfumo 3-4-1-2): Diego Alves; Orban, Otamendi, Mustafi; Barragan, Parejo, Enzo Perez, Piatti; Andre Gomes; Negredo, Alcacer.
Real Madrid (Mfumo 4-3-3): Casillas; Carvajal, Pepe, Sergio Ramos, Marcelo; Kroos, Isco, James Rodriguez; Bale, Ronaldo, Benzema.



Valencia players celebrate after earning a thrilling 2-1 victory over Real Madrid at the Mestalla
Valencia players celebrate after earning a thrilling 2-1 victory over Real Madrid at the Mestalla
Cristiano Ronaldo celebrates after opening the scoring for Real Madrid with a first-half penalty
Cristiano Ronaldo celebrates after opening the scoring for Real Madrid with a first-half penalty
Gareth Bale (left) heads back to the centre circle as Real Madrid see their 22-game winning streak come to an end



Chapisha Maoni