Mmea mmoja unaokula wadudu unatumia nguvu
za matone ya mvua ili kuwakamata wadudu
hao,wanasayansi wamebaini.
Wanasayansi hao kutoka chuo kikuu cha Bristol
wamebaini kwamba matone hayo ya mvua
husababisha mtikisiko katika majani ya mti huo
ambayo yana umbo la mtungi.
Hatua hiyo huwapeleka wadudu katika mfuniko
wa mtungi huo wenye mtego, ambapo wadudu
hao huzamishwa na kuliwa.
Matokeo ya utafiti huo yaliochapishwa katika
jarida la PNAS yanatokana na kamera zenye kasi
na zisizo na mtikisiko mkubwa.
Kwa matumizi ya vifaa hivyo ,daktari Ulrike Bauer
pamoja na wenzake walirekodi kasi na mtikisiko
unayoendelea katika majani ya mti huo baada ya
kuangukiwa na matoni hayo ya maji.
Hatua hiyo ni ya kipekee miongoni mwa mimiea ,
Daktari Bauer anasema.
''Kasi yake ambayo husaidia kuwakamata
wadudu pamoja na vile mmea huo unavyotumia
nguvu za nje ni swala la kushangaza''.
Asante kwa kutembelea Hope FM Iringa, Asante kwaku-share habari hii, Kama una Maoni, Ushauri, Story ya ku-share na sisi na au Unahitaji msaada...!
Wasiliana nasi kwa Email hopefmiringa@gmail.com au ungana nasi kupitia mitandao ya kijamii hapo chini!
Wasiliana nasi kwa Email hopefmiringa@gmail.com au ungana nasi kupitia mitandao ya kijamii hapo chini!
Related Posts
- Anonymous10 Nov 2015RUNGU LA MAGUFULI LAMWANGUKIA MKURUGENZI MWIMBILI
Dk Magufuli atimua bosi, avunja bodi Muhimbili Rais John Magufuli jana alifanya ziara ya kushtukiza ...
- Anonymous01 Oct 2015NYANI WAZIMA KITUO CHA RADIO ZIMBABWE
Nyani wasumbufu katika kijiji cha Zvishane mjini Zimbabwe wamedaiwa kukizama kituo kimoja cha cha re...
- Anonymous25 Jul 2015RAIS OBAMA AKUTANA NA DADA YAKE AUMA OBAMA
Msemo wa kuwa damu ni nzito kuliko maji ulidhirika wazi katika uwanja wa ndege wa kimata...
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni