Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Taifa Stars imefungwa mabao 2-0 na Madagascar na kutolewa katika michuano ya Cosafa.

Stars imeonyesha kiwango cha chini na kupoteza mchezo huo.
Maana yake, kwa kipigo hicho, Stars imecheza mechi mbili bila bao wala pointi baada ya kuwa imepoteza kwa mabao 1-0 dhidi ya Swaziland.
Sasa Stars imebakiza mechi moja tu dhidi ya Lesotho ambayo itakuwa ni kama ya kirafiki tu.

 
HATUA YA MAKUNDI
Mei 17
MECHI 1: Namibia 0 Seychelles 0
M2: Zimbabwe 2 Mauritius 0
Mei 18
M3: Lesotho 1 Madagascar 2
M4: Tanzania 0 Swaziland 1
Mei 19
M5: Seychelles 0 Zimbabwe 1
M6: Namibia 2 Mauritius 0 
Jumatano Mei 20
M7: Madagascar 2 Tanzania 0
M8: Lesotho vs Swaziland – 20h30 – Royal Bafokeng Stadium
Alhamisi Mei 21
M9: Namibia vs Zimbabwe – 18h00 – Moruleng
M10: Seychelles vs Mauritius – 18h00 – Olympia Park
Ijumaa Mei 22
M11: Lesotho vs Tanzania – 18h00 – Moruleng
M12: Madagascar vs Swaziland – 18h00 – Olympia Park
ROBO FAINALI
Jumapili Mei 24
M13 (RF1): Zambia vs Mshindi Kundi A – 16h00 – Moruleng
M14 (RF2): South Africa vs Botswana – 18h30 – Moruleng
Jumatatu Mei 25
M15 (RF3): Ghana vs Mshindi Kundi B – 18h00 – Olympia Park
M16 (RF4): Mozambique vs Malawi – 20h30 – Olympia Park
NUSU FAINALI-NGAO
Jumatano Mei 27
M17 (NF1): Aliefungwa M13 vs Aliefungwa M15 – 18h00 – Olympia Park
M18 (NF2): Aliefungwa M14 vs Aliefungwa M16 – 20h30 – Olympia Park
NUSU FAINALI-KIKOMBE
Alhamisi Mei 28
M19 (NF1): Mshindi M13 vs Mshindi M15 – 18h00 – Moruleng
M20 (NF2): Mshindi M14 vs Mshindi M16 – 20h30 – Moruleng
FAINALI-NGAO
Ijumaa Mei 29
M21 (Fainali-Ngao): Mshindi M17 vs Mshindi M18 – 18h00 – Olympia Park
MSHINDI WA TATU
Jumamosi Mei 30
M22: Aliefungwa M19 vs Aliefungwa M20 – 16h00 – Moruleng
FAINALI-KIKOMBE
M23: Mshindi M19 vs Mshindi M20 – 18h30 – Moruleng


Chapisha Maoni