klabu ya soka ya Barcelona
wamewatumia taarifa klabu ya soka ya Otelul
Galati ya nchini Romania kuwa watawashitaki
kwa kitendo chao cha kutengeneza nembo
inayofanana na ya kwao Barcelona.
Kiongozi wa Otelul Galati anasema kuwa ni
kweli wamefanya makosa ya copy and paste, na
kwamba wanahitaji kubadili haraka na
kurudisha alama waliyokua wakiitumia zamani.
Mapema hivi karibuni klabu ya Barcelona ilitoa
taarifa na onyo kwa klabu hiyo ya Romania
kuwa watawafikisha mahakamani kwa kuiba
nembo ya klabu yao.
Mwaka 2011-12 Otelul Galati ilipangwa katika
kundi moja na Manchester United na kufungwa
mabao 2-0 katika mechi za nyumbani na
ugenini.
Otelul Galati hivi sasa wameshuka daraja baada
ya kupitia kipindi kigumu na wako hatarini
kupotea kabisa katika ramani ya soka sio tu
duniani bali nchini Romania.
Asante kwa kutembelea Hope FM Iringa, Asante kwaku-share habari hii, Kama una Maoni, Ushauri, Story ya ku-share na sisi na au Unahitaji msaada...!
Wasiliana nasi kwa Email hopefmiringa@gmail.com au ungana nasi kupitia mitandao ya kijamii hapo chini!
Wasiliana nasi kwa Email hopefmiringa@gmail.com au ungana nasi kupitia mitandao ya kijamii hapo chini!
Related Posts
- Anonymous25 Nov 2016GERRARD HATA KAMA TUPO AFRIKA TUTAKUKUMBUKA DAIMA, KISOKA
Gwiji wa Liverpool, Steven Gerrard amestaafu rasmi kutumikia mchezo wa Soka ikiwa ni baada...
- Anonymous15 Jun 2016RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA 2016/17 HII HAPA
EPL August 13/14 Arsenal v Liverpool Bournemouth v Manchester United Burnley v Swa...
- Anonymous12 May 2016TIMU ZILIZOSHUKA DARAJA UINGEREZA HIZI HAPA
Klabu ya Norwich City imeshushwa daraja kutoka Ligi ya Premia licha ya kuandikisha ushindi dhidi ya ...
- Anonymous05 May 2016BOSI WA LEICESTER CITY AMWAGA MAGARI YA KIFAHARI KWA WWCHEZAJI
Mercedes B-Class Electric Drive. Thamani yake ni pauni £32,670 (zaidi ya Sh million 103) kwa g...
- Anonymous06 Apr 2016UEFA CHAMPIONZ LIGI ROBO FAINALI
Mechi zote kuanza Saa 3 Dakika 45 Usiku Jumatano Aprili 6 Paris St-Germain v Manchester City ...
- Anonymous29 Mar 2016MOURINHO KUIJENGA UNITED
Meneja wa zamani wa Chelsea, Jose Mourinho anadaiwa kuanza kujipanga na Manchester United kama atac...
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni